Utamaduni wa Wahadzabe wa Tanzania kuhusu jinsi wanavyowaozesha mabinti zao

Maelezo ya video, Jamii inayomuozesha binti kwa nyama nchini Tanzania
Iliyochapishwa

Je kwa utamaduni wa kwenu kitu gani ni lazima kwenye mahari? kwa wahadzabe wa Hydom nchini Tanzania nyama ya nyani, pofu, bangi, tumbaku na pombe ya asali ni lazima

Mabinti wenye umri kuanzia miaka 15 huposwa bila wenyewe kuwajua wachumba wao hadi hatua za awali zinapokuwa zimakamilika na kwa mila zao mwanaume haruhusiwi kuoa Mke zaidi ya mmoja ila watakapotofautia au kushindwana ruksa kuachana na kuolewa au kuoa tena

Eagan Salla alitembelea jamii na kutuandalia taarifa ifuatayo