Uchaguzi wa Uganda 2021: Waganda wazungumza kuhusu matarajio yao ya uchaguzi mkuu

Maelezo ya video, Uchaguzi wa Uganda 2020: Waganda wazungumza kuhusu matarajio yao kaba ya uchaguzi
Iliyochapishwa

Huku uchaguzi mkuu wa Uganda ukitarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi waandishi wetu wamezungumza na baadhi ya raia wa Uganda kuhusu wanachotarajia katika uchaguzi huo na kuandaa taarifa ifuatayo.

Video: Munira Hussein