uchaguzi Uganda 2021: Waandishi habari Uganda waondoka katika mkutano ulioitwa na jeshi
Iliyochapishwa
Wanahabari nchini uganda wameondoka kutoka mkutano na wanahabari uliyokuwa umeitishwa na jeshi nchini humo , wanahabari hao waliondoka kama ishara ya kuonyesha ghadhabu yao , baada ya wenzao kujikuta kwenye patashika ya vurugu za kisiasa na walinda usalama , juma lililopita.
Jeshi la Uganda UPDF lilikuwa limeitisha mkutano na wanahabari kutangaza shughuli za hisani wakati wa wiki ya wanajeshi nchini humo .
isaac mumena anaripoti kutoka Kampala Uganda