Mwamko wa mageuzi katika nchi za kiarabu yalikuwa ya mafanikio?
Iliyochapishwa
Muongo mmoja uliopita, mchuuzi wa matunda alijiteketeza kwa moto. Hilo lilichochea wimbi la maandamano kote Afrika Magharibi na Mashariki ya kati. Lakini matukio haya yalibadili chochote?.