Twiga wasafirishwa kwenye boti ya aina yake wakihamishwa makazi

Maelezo ya video, Jinsi twiga walivyookolewa kutoka kisiwani nchini Kenya
Iliyochapishwa

Twiga waliokwama kisiwani wanaokolewa kwa ubunifu wa aina yake kutoka eneo moja kwenda nyingine.

Twiga hao wanaondolewa eneo ambalo lilikuwa linajaa maji-na hivi ndivyo wanavyosafirishwa;