Joyce Beckwith, ni rubani wa kwanza wa kike kurusha puto la hewa moto
Iliyochapishwa
Joyce Beckwith, ni rubani wa kwanza wa kike mwenye asili ya Kiafrika kuendesha puto la hewa moto.
Ni mtaalamu wa masuala ya hoteli, lakini mbobezi wa puto la hewa moto.
Ni kazi ambayo mwanamke yoyote asingeweza kuifikiria, lakini Joyce amejiingiza huko