Wataalamu nyota wagundua mizunguko isiyo ya kawaida ya miangwi ya radio

Maelezo ya video, Wataalamu nyota wagundua mizunguko isiyo ya kawaida ya miangwi ya radio
Iliyochapishwa

Kifaa kipya chenye nguvu za kuvuta picha za mbali angani kimewawezesha wataalamu wa nyota kuvumbua kitu kipya katika anga za mbali ''mizunguko isiyo ya kawaida ya miangwi ya radio'' au ORCs haijawahi kuonekana wakati mwingine wowote na imewaacha wanasayansi wakibaki vinywa wazi. Mtaalamu wa nyota Profesa Ray Noris anaelezea ni kwanini mizunguko hiyo ya ajabu imewafurahisha wataalamu wa anga za mbali...