Wazazi wa kiume wafunzwa uleza wa watoto wachanga

Maelezo ya video, Wazazi wa kiume wafunzwa uleza wa watoto wachanga
Iliyochapishwa

Tolulope Adeleke anataka wazazi wa kiume wahusishwe kwenye maisha ya watoto wao kwanzia mwanzo hadi mwisho.Baada ya kusomea ukunga nchini Uingereza Tolulope, aliamua kurudi nyumbani na kuanza kuwapa mafunzo ya ulezi wa watoto wazazi wapya wa kiume mjini Lagos.