Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Baraza jipya la mawaziri linakidhi matarajio ya Watanzania?
Iliyochapishwa
Baraza la Mawaziri nchini Tanzania, limeanza kazi, ikiwa ni siku moja baada ya kuapishwa na Rais John Magufuli hapo jana.
Hili ni Baraza lenye sura mpya, na chache za zamani, huku mawaziri kadhaa wazoefu wamerejeshwa kwwenye nafasi zao.
Lakini Baraza hili linakidhi matarajio ya watanzania? Scolar Kisanga amezungumza na wachambuzi wa siasa za Tanzania, Said Msonga na Beatrice Kimaro kujadili hilo.