FBI limesema Nigeria ni kitovu cha shughuli za utapeli kwa njia ya barua pepe

Iliyochapishwa

Ulaghai wa BEC au biashara ya utapeli wa barua pepe ni moja wapo ya aina ya shambulio la kimtandao, ambalo FBI inasema inagharimu karibu dola bilioni 9 kwa mwaka - na wataalam wanasema Nigeria ndio kitovu chake.

BBC imezungumza na tapeli mmoja wa BEC nchini Nigeria ili kujua jinsi wanavyofanya kazi, na anahisije kuhusu watu wanaowalaghai.