Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Akiwa na umri wa miaka 10 tu Emmanuella Samuel amewajengea wazazi wake nyumba
Iliyochapishwa
Akiwa na umri wa miaka 10 tu Emmanuella Samuel ametumia mapato yake aliyoyatengeneza kupitia mtandao wake wa You Tube kuwajengea wazazi wake nyumba.
Amekuwa nyota katika chaneli ya You Tube maarufu ya mchekeshaji Mark Angel, tangu alipokuwa na umri wa miaka mitano.
Akimshukuru mama yake Emmanulla amesema mama yake anafaa kupewa nyumba nyingi.