'Maisha ni matamu'-Nyota mlevu wa mchezo wa kupanda ukuta

Maelezo ya video, 'Maisha ni matamu' - Nyota mlevu wa mchezo wa kupanda ukuta
Iliyochapishwa

Mpandaji ukuta Lea Volpe amekuwa mtaalamu wa mashindano ya kupanda ukuta– na sasa anashikilia nishani ya ya dunia ya shabt – baada ya kukubali hali yake ya ulemavu. Anasema kuwa anataka watu kuwa na mawazo tofauti kuhusu ulemavu