Virusi vya corona: Wafanyakazi 40 wa masuala ya afya watashiriki majaribio ya chanjo Kenya

Iliyochapishwa

Rhoda Odhiambo amepewa nafasi ya kufikia kituo cha utafiti cha KEMRI, Kilifi Kenya.

Wafanyakazi 40 wa huduma ya afya wanatarajiwa kushiriki katika majaribio hayo.

Wafanyakazi 2 wa huduma ya afya hadi sasa wameandikishwa katika majaribio ya chanjo ya kuzuia Covid19.

Wengine zaidi wanaandikishwa. Hii inakuja chanjo ya Pfizer ikiwa imetangazwa kuwa na ufanisi wa 90% katika kuzuia COVID-19.

Tazama mahojiano na Muuguzi Naomi Kamau - ambaye ndiye mratibu wa majaribio ya chanjo ya kuzuia Covid -19.