Shule ya kwanza ya watoto wasiosikia Mogadishu
Iliyochapishwa
Shule ya kwanza ya watoto wasiosikia Mogadishu ,ilianzishwa na taasisi ya watu wasiosikia. Hapo kabla ilikuwa vigumu kwa watoto kuwasiliana katika jamii zao lakini sasa imekuwa ahueni kwao na kwa watoto wenzao wasio na ulemavu huo.