Uchaguzi wa Marekani 2020: Kauli ya Biden na Trump kura zinapoendelea kuhesabiwa

Maelezo ya video, Biden na Trump wasema na wafuasi wao kura zinapoendelea kuhesabiwa
Iliyochapishwa

Hali ya ya taharuki inaendelea kushuhudiwa nchini Marekani. Siku tatu baada ya uchaguzi, kura bado zinaendelea kuhesabiwa. Lakini Rais Donald Trump na mpinzani wake wa chama cha Democratic Joe Biden wamezungumzia jinsi wanavyoamimi kinyang’anyiro cha White House kitakavyo malizika.