Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Afghanistan: Watoto wa mtaani waliobadilisha maisha yao kupitia muziki
Iliyochapishwa
Maisha ya siku za usoni za wasichana nchini Afghanistan yanakabiliwa na hali ya wasi wasi. Badhi yao wamekabiliwa na msongo wa mawazo wakiwa na umri mdogo. Lakini kundi moja limepewa nafasi ya kujifariji kupitia muziki. Wasichana hao ambao walikuwa wakiuza bidhaa mitaani sasa wa bendi yao ya muziki inayofahamika kama The Miraculous Love Kids.Bendi hiyo saa inafanya kazi na nyota wa muziki wa kimataifa. Kawoon Khamoosh amekuwa akifuatilia maisha yao tangu mwkan 2016.