Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2020:Hivi ndivyo John Magufuli alivyotangazwa mshindi

Iliyochapishwa

Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi, Semistocles Kaijage akitangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa urais Tanzania.