Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: NEC yajibu shutuma kuhusu 'kura feki' , kuzuiwa kwa mawakala
Iliyochapishwa
Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Dkt Charles Wilson Mahera amezungumza na BBC kujibu madai kuhusu mawakala kukosa barua za kusimamia shughuli za upigaji kura kutoka tume ya uchaguzi.
Hali kadhalika amezungumzia madai ya kuwepo kwa makasha yenye 'kura feki' .
Amezungumza na Regina Mziwanda