Uchaguzi Tanzania 2020:'Kila Mtanzania anapata haki yake ya kupiga kura'

Iliyochapishwa

Tume ya uchaguzi nchini Tanzania imethibitisha kuwa imehakikisha kila raia wa Tanzania anapata haki yake ya kupiga kura.