Uchaguzi Tanzania 2020: Kijana anayepiga kura kwa mara ya kwanza

Maelezo ya video, Kijana anayepiga kura kwa mara ya kwanza
Iliyochapishwa

Miongoni mwa wanaoshiriki uchaguzi ni kijana Hashim Bakari anayepiga kura kwa mara ya kwanza. Hisia zake zilikuwa zipi wakati anatekeleza haki yake.