Uchaguzi Tanzania 2020: Namna zoezi la upigaji kura lilivyoanza

Iliyochapishwa

Raia wa Tanzania leo wanaendelea kuchagua viongozi wao katika ngazi mbalimbali ikiwemo urais.

Tazama video inayoonesha hali ilivyokuwa tangu asubuhi wakati Watanzania wakianza kutekeleza haki yao ya kimsingi ya kupiga kura.

Eagan Salla anaeleza, Picha na Nico Mtenga