Uchaguzi Tanzania 2020: Baada ya kupiga kura tarehe 28, Je unajua iwapo kura yako itabainika imeharibika?

Maelezo ya video, Baada ya kupiga kura tarehe 28,Je unajua iwapo kura yako itabainika imeharibika?
Iliyochapishwa

Baada ya kupiga kura tarehe 28, je unajua iwapo kura yako itahesabiwa? Je unajua iwapo kura yako itabainika imeharibika?