Uchaguzi Tanzania 2020: IGP Siro amesewataka wanasiasa kutimiza wajibu wao

Maelezo ya video, Siro:Tutasimamia haki,viongozi wa kisiasa watimize wajibu wao
Iliyochapishwa

IGP Sirro ametoa onyo kwa watu binafsi na makundi ya watu wanaopanga kusalia katika vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura akisema hilo halitakubalika.

IGP Sirro amesema kwamba shughuli ya kulinda kura itafanywa na mawakala wa vyama husika.