'Sina uwezo wa kununua dawa za uzazi wa mpango, naogopa kushika ujauzito'

Maelezo ya video, 'Sina uwezo wa kununua dawa za uzazi wa mpango, naogopa kushika ujauzito'
Iliyochapishwa

Kupungua kwa biashara na misaada ya nje, ni wazi kwamba Afrika sio kipaumbele tena kwa Marekani.

Donald Trump hajawahi kutembelea bara la Afrika wakati wa urais wake.

Athari za sera za nje za Washington kuhusu Afrika zinaathiri maelfu ya watu barani Afrika, hasa wanawake.