Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kutana na mafundi wanawake wa Korea Kusini wanaofanya kazi zinazoaminika kuwa za kiume
Iliyochapishwa
Nchini Korea Kusini, karibu 90% ya waathirika wa vurugu na uhalifu ni wanawake. Na kwa miaka ya hivi karibuni, uvunjji na uvamizi wa kutumia nguvu umekuwa ukiongezeka. Kutana na wanawake wanaotoa huduma ya kufanya ukarabati.
Kikundi hicho kimeundwa kwa ajili ya wanawake walio na hofu pale wafanyakazi wa kiume wanapofika kugonga hodi kwenye nyumba zao.