Sherehe ya Olngesher: Fahamu jinsi vijana wa Kimasai wanavyohitimu kuwa wazee wa jamii

Maelezo ya video, Sherehe ya Olngesher:Vijana wa Kimasai huhitimu kuwa wazee wa jamii
Iliyochapishwa

Kila baada ya miaka 15, jamii ya maasai nchini Kenya hufanya shere inayofahamika kama Olngesher ambapo vijana huhitumu kuwa wazee wa jamiis. Mwaka huu ilikuwa mara ya kwanza sherehe hizo zimefanywa wakati wa janga la corona. Serikali ya Kenya imepiga marufuku mikusanyiko ya watu zaidi ya 100 lakini kuchelewesha sherehe hiyo kungelikuwa na athari kubwa katika kizazi kujacho cha wamorani wa kimasai.

Video imeandaliwa na Ian Wafula.