Ebube Jane Richard: Msanii anayeweza kupodoa uso wake kufanana na mtu yeyote duniani

Iliyochapishwa

Ebube Jane Richard mwenye umri wa miaka mitatu ni msanii wa Nigeria anayebadilisha uso wake kwa kuupodoa ili kufanana na watu mashuhuri. Upodozi wa uso wake na kuufanya kufanana na Chadwick Boseman kufuatia kifo chake mnamo Agosti iisambaa nchini Nigeria.