Washikadau wa Utalii washirikiana na serikali kuuzima moto mlima Kilimanjaro

Maelezo ya video, Harakati za kuuzima moto wa Mlima Kilimanjaro zaanza
Iliyochapishwa

Wadau wa sekta ya Utaliii nchini Tanzania wanafanya jitihada za kushirikiana na vikosi vya zima moto kuukabili moto uliozuka kwenye hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

Hii si mara ya kwanza kwa moto wa aina hii kutokea, mpaka sasa chanzo cha moto hakijabainika

Ahimidiwe Ulomi ni mmoja wa wadau wa Mlima Kilimanjaro anasema tayari makampuni yamesha jipanga kuweka nguvu Kazi Pamoja na vifaa