Wazazi wanasema nini kuhusu usalama wa wanafunzi wanaporejea shuleni Kenya?

Iliyochapishwa

Maswali ya wazazi yamejibiwa? Wazazi wanaridhika na hatua zilizowekwa za kulinda watoto wa shule kutokana na janga hilo? kuna wasiwasi gani? Je! Wazazi wako tayari kurudisha watoto wao shuleni? Mwanaharakati Okiyah Omtata alikwenda kortini kupinga maagizo ya Waziri Magoha