Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Beji gushi zanazovaliwa na wanasiasa kwa madai kuwa zinawakinga Covid 19
Iliyochapishwa
Miujiza ya uponyaji na bahati vinapigiwa debe na wafanyabiashara wakitumia hofu za watu kuhusu janga la virusi vya corona. Vinavyoitwa ‘vizuwizi vya virusi’ au ‘beji za kinga’ vimeshuhudiwa kwenye nguo za wanasiasa maarufu kote duniani. Lakini wataalamu wanasema, sio tu kwamba beji hizo hazisaidii kutoa kinga dhidi ya Covid-19, lakini pia zinaweza kusababisha madhara.
"Beji za Covid ": vifaa vya uongo vinavyowafanya wanasiasa kuwa wajinga kote duniani.