Uchaguzi Tanzania 2020: ACT yasema CCM haitaondoka uongozini iwapo Tundu Lissu na Membe watagombea wakiwa mbalimbali
Iliyochapishwa
Naibu wa katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Kisiwani Zanzibar Nassor Mazrui amesema kwamba chama kimoja cha upinzani hakiwezi kuiondoa CCM hivyobasi kuna haja ya upinzani kuungana.