Uchaguzi Tanzania 2020: Vijana wana tathimini gani kuhusu uchaguzi?
Iliyochapishwa
Wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, vijana hawajabaki nyuma katika kuhakikisha kuwa wanashiriki kikamilifu katika kumpata kiongozi atakayewatumikia na kuwawakilisha vyema.
Vijana mbalimbali nchini Tanzania wameileza BBC umuhimu wa mchakato huu kwao.
VIDEO: Munira Hussein