Ruwaida Saleh: 'Water girl' aliyepigwa risasi akiitekea maji familia yake
Iliyochapishwa
Picha za kushangaza zinazomuonesha mtoto wa miaka 6 Ruwaida Saleh akiwa amelala barabarani baada ya kupigwa risasi kichwani na mlengaji shabaha wa kuvizia akiwa anaitekea maji familia yake zimezua hisia tofauti na shutuma kutoka katika mitandao ya kijamii.