Bibi aliyekaidi amri ya polisi kumpinga rais
Iliyochapishwa
Video ya bibi mwenye miaka 73, aliyekaidi amri ya polisi imesambaa mtandaoni.
Taifa limekuwa na maandamano tangu Agosti 9, dhidi ya rais Alexander Lukashenko.
Waandamanaji wanadhani kuwa uchaguzi wa hivi karibuni ulikuwa sio wa haki.
Lukashenko ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 26, amekanusha madai hayo na hana mpango wa kujiuzuru.