Uchaguzi Tanzania 2020: Mgombea wa Urais kupitia CHAUMMA azindua kampeni

Iliyochapishwa

Chama cha Ukombozi wa Umma( CHAUMA) kimezindua rasmi kampeni zake leo na kuahidi kuhakikisha wanashughulikia mpango wa watoto kupata chakula mara tu watapoingia madarakani.

Mgombea wa nafasi ya Urais wa chama hicho, Hashim Rungwe alipokuwa akinadi sera zake na kusema kipaumbele chake ni mpango wa watoto kupata chakula.