Wanawake wanahitaji mapumziko kila mwezi wanapoingia hedhi?

Maelezo ya video, Wanawake wanahitaji kutokuwa kazini wanapokuwa kwenye hedhi?
Iliyochapishwa

Kampuni moja nchini India inawapa wanawake mapumziko wanapokuwa kwenye hedhi. Hatua hii imesababisha mjadala mkubwa.