Aminat Adekoge: Mwanamke wa Kiislamu aliyevunja mazoea

Iliyochapishwa

Aminat Adekoge ni mwanamke wa Kiislamu aliyeolewa, ameamua kujishughulisha na kazi ya ufundi viatu.

Ni nadra sana kuwaona wanawake wakiwa na vazi la niqab kufanya kazi hiyo nchini Nigeria.