Mwana FA na Wakazi: Wanamuziki wa Tanzania waelezea sababu zao za kujitosa katika siasa Tanzania

Maelezo ya sauti, Mwana FA na Wakazi: Wanamuziki wa tanzania waelezea sababu zao za kujitosa katika siasa
Iliyochapishwa

Wanamuziki wa Tanzania wameonesha hamu yao katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu nchini tanzania na wamejitokeza kuwania nyadhfa mbalimbali. Tunawauliza, je watafanya vipi muziki wakati wapo katika siasa kuwahudumia wakaazi wao?