Virusi vya corona: Jinsi Ebola ilivyomuandaa daktari huyu kupambana na COVID-19

Iliyochapishwa

Wakati Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo tayari ilikuwa ikipambana na malaria, surua na Ebola, Covid 19 iliingia mwezi Machi nchini humo,miezi mitano baadae, madaktari wanakabiliwa si tu na janga hilo, lakini pia kufahamu ugonjwa huo unaotoka kwingine na usio na tiba.