Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Mji wa Wuhan uliokuwa kitovu cha corona washerehekea
Iliyochapishwa
Umati wa watu waliokaribiana ,bila barakoa unaonekana ukisherehekea huku tamasha la muziki likiendelea katika bustani moja ya maji mjini Wuhan nchini China ambapo mgonjwa wa kwanza wa corona alithibitishwa.
Picha hizo ni tofauti na zile zilikuwepo katika mji huo wa China wakati ulipofungwa kwa mara ya kwanza.