Jinsi mlipuko ulivyomharibia siku Bibiharusi Beirut

Maelezo ya video, Jinsi mlipuko ulivyomharibia siku Bibiharusi Beirut
Iliyochapishwa

Video ya harusi ya Israa Seblan ilitakiwa kuchukua picha za siku ya furaha isiyo na kifani maishani mwake. Lakini kinyume chake ilikatizwa na sauti ya mlipuko ulioipiga bandari ya Beirut.