Mlipuko Beirut: Mlipuko ulivyopiga ofisi ya BBC mjini Beirut

Maelezo ya video, Mlipuko ulivyopiga ofisi ya BBC mjini Beirut
Iliyochapishwa

Mwandishi wa habari wa BBC idhaa ya kiarabu Maryem Taoumi alikuwa akimuhoji Faisal Al-Aseel, Meneja mradi wa Shirika la nishati endelevu, wakati mlipuko ulipotokea.