Mlipuko Beirut: Mama aliyejifungua wakati wa msukosuko Lebanon
Iliyochapishwa
Emmanuelle alikuwa akijiandaa kujifungua mtoto wake katika hospitali ya St. George mjini Beirut siku ya Jumanne
wakati mlipuko ulipopiga kwenye wodi hiyo.
Mume wake, Edmond, alipata picha yua tukio zima kwenye kamera. Mama na mtoto aliyepewa jina la George wanaendelea vizuri.