Wagonjwa wa saratani Syria wasubiri mpaka ufunguliwe kupata matibabu Uturuki
Iliyochapishwa
Ismail ana uvimbe wa saratani mguuni. Anahofia kwamba saratani huenda ikasambaa mwili mzima wakati mpaka wa nchi hiyo na Uturuki umefungwa. Anahitaji matibabu katika hospitali ya Uturuki lakini kusambaa kwa ugonjwa wa Covid-19 kumekuwa kikwazo kwake yeye na wagonjwa wengine wa Syria kupata matibabu nchini Uturuki.