Video iliyoonesha tukio la mlipuko mkubwa imewekwa mtandaoni
Iliyochapishwa
Waziri wa afya wa Lebanon Hamad Hasan amezungumzia kuhusu majeruhi wengi na uharibifu mkubwa uliojitokeza.
Shirika la habari la Reuters limenukuu vyanzo vya habari vikisema miili kumi imetolewa kutoka kwenye kifusi.