Humble Orji alipata medali yake ya kwanza akiwa na miaka 18

Iliyochapishwa

Humble Orji ni binti mwenye miaka 25, anacheza Taekwondo ambaye alishinda medali yake ya kwanza akiwa na miaka 18 na baada ya hapo medali 30, tatu kati ya hizo ni dhahabu.

Anazungumzia safari yake katika michezo na jinsi wanawake wanavyojifunza nidhamu, kudhibiti uzito wa mwili, na kujihami.