Jinsi watoto waliokua ndani ya nyumba iliyokua ikiungua Ufaransa walivyookolewa

Maelezo ya video, Uokoaji wa kuogofya
Iliyochapishwa

Watoto wawili wenye umri wa miaka mitatu na 10 waliepka ajali katika nyumba ya gorofa iliyokua ikiungua moto katika mji wa Ufaransa wa Grenoble kwa kuruka mita makumi kadhaa, na kudakwa mikononi na watu wazima waliokua chini ya jingo lao.

Video iliyochukuliwa na mtu aliyekua katika nyumba nyingine inaonyesha wakati watoto hao walipokua wakianguka kutoka gorofa la tatu.