Uchaguzi wa Tanzania 2020: Tundu Lissu azungumza na BBC baada ya kurejea nyumbani, Tanzania
Iliyochapishwa
Ni siku mbili baada ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu kuwasili nchini mwake akitokea Ubelgji kwa matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana amezungumza na BBC. Katika mahojiano haya na Mwandishi Scolar Kisanga Lissu anaelezea hisia zake kuhusu mapokesi aliyoyapata, fursa yake katika uchaguzi wa urais wa mwezi Oktoba na suala la yeye na wanachama wenzake wa CHADEMA kutoruhusiwa kuingia katika shughuli ya kuuaga mwili wa Hayati rais wa awamu ya tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa aliyefariki dunia...