Virusi vya corona: ''Nilimuuwa mama yangu kwa mikono yangu mwenyewe''

Maelezo ya video, Virusi vya corona: ''Nilimuuwa mama yangu kwa mikono yangu''
Iliyochapishwa

Familia nchini Iraq zinakabiliwa na adui asiyeonekana ambaye amezipatia changamoto kubwa hospitali na maeneo ya maziko.

Ndugu waliokuwa wakiomboleza wamejiweka hatarini kuwasaidia wapendwa wao walioambukizwa corona.

Na sasa wameligeukia kundi moja lililojihami kwa silaha ambalo limetoka kupambana dhidi ya IS kuwasaidia kuwazika wapendwa wao