Virusi vya corona: Changamoto za ujauzito wakati wa corona
Iliyochapishwa
Kufuatia mlipuko wa virusi vya corona, akina mama wajawazito wamekumbana na changamoto zaidi kuanzia kwenye kwenye kukaa mbali na watu na hata kupata huduma za afya.
Trina Duhra ametengeneza video kwa ajili ya mtoto wake wa kwanza, video hiyo inaomuonyesha tangu akiwa mjamzito mpaka mtoto huyo alipozaliwa.
Lengo lake ni kumuonyeshe mwanae dunia ilikuwa inafananaje wakati wa ujio wake.